Huyu Mungu ana miujiza..
Mti hautaanguka…
Huyu mtu hatachoka..
Hawa simba na mamba watakata tamaa au wataona posho nyingine..waichangamkie wamsahau huyu mtu..
Nyoka atamwona panya chini..atamshukia ghafla…
Na huyu mtu atashuka taratibu na kuendelea na mambo yake
Cha msingi..tusikate tamaa…tusitake majibu kwa haraka…tusiwe na mashaka tunapomwomba Mungu..
Mbarikiwe
No comments:
Post a Comment